Sheria

Sheria na Masharti

Kwa kutumia SokoFlow unakubali masharti ya matumizi ya huduma zetu.

Matumizi ya akaunti

Mtumiaji anawajibika kulinda jina la mtumiaji na neno la siri la akaunti yake.

Orders na malipo

Orders zote lazima zihakikishwe kulingana na sera za duka na taarifa zilizowekwa kwenye mfumo.

Bidhaa na stock

Muuzaji anawajibika kuweka taarifa sahihi za bidhaa, bei, na stock inayopatikana.

Mabadiliko ya masharti

SokoFlow inaweza kusasisha masharti haya pale inapohitajika ili kuboresha huduma.