Faragha
Sera ya Faragha
SokoFlow inaheshimu taarifa za watumiaji na kuzitumia kwa malengo ya huduma pekee.
Tunakusanya nini?
Jina, barua pepe, namba ya simu, taarifa za order, na data ya matumizi ili kuboresha huduma.
Tunahifadhi vipi?
Taarifa huhifadhiwa kwa usalama na hutumika tu ndani ya mfumo kwa uendeshaji, support, na ripoti.
Tunashiriki taarifa?
Hatuuzi taarifa za watumiaji. Taarifa hushirikiwa pale tu inapohitajika ili kutimiza order au sheria.