Karibu kwenye SokoFlow
Kuleta teknolojia kwenye masoko ya Tanzania, kuwaunganisha wauzaji na wanunuzi kwa urahisi zaidi.
Kwa nini SokoFlow?
Suluhisho la kisasa la biashara ya mtandaoni nchini Tanzania
Rahisi Kutumia
Tumia kirahisi kwenye simu au kompyuta bila ugumu wowote.
Salama
Muamala unalindwa kwa mbinu za usalama za kisasa.
Haraka
Order, malipo, na ufuatiliaji vinafanyika kwa muda mfupi.
Msaada 24/7
Timu ipo tayari kukusaidia kila wakati unapohitaji.
Bidhaa Maarufu
Bidhaa halisi kutoka kwa wauzaji waliopo ndani ya SokoFlow
Jinsi Inavyofanya Kazi
Hatua tatu rahisi kuanza kuuza au kununua kwenye SokoFlow
Jisajili
Unda akaunti kwa dakika chache na anza mara moja.
Chagua Bidhaa
Vinjari sokoni, linganisha bei, chagua unachohitaji.
Pokea Bidhaa
Lipa, fuatilia order, kisha pokea bidhaa yako.
Wateja Wetu
Baadhi ya maoni kutoka kwa watumiaji wa SokoFlow
Juma Mohamed
Mkulima, Morogoro"Nimeongeza mauzo kwa urahisi na sasa nafikia wateja wengi zaidi."
Amina Hassan
Mfanyabiashara, Dar"Ninapata bidhaa kwa uhakika wa ubora na kwa muda sahihi."
Peter Kimambo
Mjasiriamali, Arusha"Platform hii imenisaidia kukuza biashara kwa kiwango kikubwa."
Jiunge na SokoFlow Leo
Anza kuuza au kununua bidhaa zako kwa urahisi zaidi.